Mwanza uzuri Group



 Mwanza uzuri group inakidhi mahitaji yako . Mwanza uzuri group tunatengeneza na kusambaza dawa za kukata harufu mbaya  ya choo, kufulia nguo, kung’arisha vioo vya nyumba na magari ,vigae, Shampoo za nywele , za uso, na sabuni za Miche..Kampuni pia hufanya shughuli zote za tenda za usafi wa Mazingira, Kudizaini gadeni, kupanda nyasi na kufinyanga sanamu za aina zote za mapambo. Pia tumejikita zaidi katika kutoa mafunzo ya teknolojia mbali mbali za Mapambo ukumbini na nje pamoja na huduma za wateja 
( customer care services) . Lugha  za kuongea na wateja na namna ya kuchagua mhudumu wa kazi.
___________________________________________ 

Mwanza uzuri group do processing cleaning and washing detergents of all type includes but not limited to shampoo,washing soap, toilet for cutting bad smell in toilets. We supply  high standard quality bar soap. Also we take tender  for cleaning buildings ,garden designing and moldings tourism ghosts of all types at Hotels premises.

Contacts us at:

Mwanza Uzuri group P. BOX 1463 Azimio street Igogo Mwanza

Email: mayungauk@yahoo.co.uk, ecdtanzania@yahoo.com

+255 (0) 767 09 4836, 0767249026, 0786 09 48 36



Spray dawa hii kwenye kioo kwa kutumia spray container, kisha  safisha kwa kutumia Gazeti laini lolote usitumie  kitambaa kinacho kwaruza. Dawa hii ni poa sana!!

Wasiliana nasi , 
Mwanza uzuri Group,   
s.l.p.1463 Mwanza
 SOUTH MWANZA-
 Kwa mawasiliano 
0767 24 90 26, 0767 09 48 36

Email: ecdtanzania@yahoo.com

Maoni 1 :